Tuesday, October 16, 2012
Anti-Poaching Movement at Uvinza Open Area by Friedkin Conservation Fund
Categories :
Friedkin Fund wameunda timu dhabiti ya kuzuia na kudhibiti uwindaji haramu na kulinda mazingira maridhawa ya Uvinza, tunawapongeza na tuko pamoja! Kwa habari zaidi tafadhali bofya hapa: http://friedkinfund.wordpress.com/2012/09/13/uvinza-team-update/