Vipindi Vyetu
S/n
|
Kipindi
|
1.
|
MAGAZETINI LEO
|
2.
|
Ujasiliamali katika kilimo, ufugaji, uendeshaji biashara na uzalishaji mali au huduma nyingine
|
3.
|
Maboresho katika kukabiliana na changamoto za maendeleo ya jamii
|
4.
|
Maendeleo katika jamii:
A: Elimu ya wanafunzi walioko mashuleni na nje ya shule pamoja na elimu ya watu wazima.
B: Afya ya msingi- Afya uzazi: mama na mtoto. Ujana utu uzima na uzee.
C:Afya kinga: magomjwa yanayopewa kipaumbele na yale mengine
D: URAIA: Haki na wajibu wa raia na serikali katika Jamii
|
5.
|
A: BURUDANI: Sanaa na wasanii
|
Michezo na uchambuzi
| |
Riadha
| |
6.
|
UPASHANAJI HABARI
|
7.
|
DINI
|
8.
|
AKINA MAMA
|
9.
|
WATOTO
|
10.
|
WANAJAMII WENYE ULEMAVU
|
11.
|
VIJANA NA UJANA
|